Wakati Serikali ikitoa hatimiliki za ardhi zaidi ya 250 kwa wananchi katika mji wa Tarakea, Wilaya ya Rombo mkoani ...
Zilikuwa ni saa 72 za moto, ndivyo unavyoweza kuelezea hukumu sita za mauaji zilizotolewa na Jaji John Nkwabi wa Mahakama Kuu ...
Wadau wa mazingira nchini Tanzania wameishauri Serikali, kuanzisha wakala utakaowezesha wakazi wa vijijini kupata nishati ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesema hatosita ...
Wadau wa demokrasia nchini wamezitaka pande mbili zinazokinzana, yaani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Jeshi ...
Dar/Songea. Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akianza ziara yake ya kikazi mkoani Ruvuma kesho, Jumatatu, Septemba 23, 2024, ...
Matukio ya ukatili wa watoto hususan ubakaji yamezidi kushamiri mkoani Geita ambapo takwimu zilizotolewa na Jeshi la Polisi ...
Serikali na Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba Tanzania (TMDA) zimetoa tahadhari ya matumizi ya dawa za kufubaza makali ya virusi ...
Mwili wa mtoto Rashmi Abdallah (5), mkazi wa Kijiji cha Katurukila, wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, uliokutwa kwenye ...
Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Songambele, Teddy Majuto, aliyejikuta akisitisha masomo na kwenda kufanya ...
Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Kigoma, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Sudy Omary baada ya kumkuta na hatia ya ...
Baadhi ya viongozi wa Al Ahli Tripoli wameonekana kukiuka masharti katika matumizi ya mlango wa kupita kwenye Uwanja wa ...